Luke 17:12-14

12 aAlipokuwa akiingia kwenye kijiji kimoja, watu kumi waliokuwa na ukoma wakakutana naye. Wakasimama mbali, 13 bwakapaza sauti, wakasema, “Isa, Bwana, tuhurumie!”

14 cAlipowaona akawaambia, “Nendeni mkajionyeshe kwa makuhani.” Nao walipokuwa njiani wakienda, wakatakasika.

Copyright information for SwhKC